MWALIKO WA KIKAO
Mkuu wa shule ya sekondari ya wasichana Dr.Asha-Rose Migiro anapenda kuwaalika wazazi/walezi wa wanafunzi katika kikao kitakachofanyika shuleni tarehe 20/12/2017, saa 4.00 kamili asubuhi.
Mzazi/mlezi ni muhimu sana kuhudhuria kikao hicho.